Loading...
title : JK akutana na Mwadhama Policarp Kadinali Pengo
link : JK akutana na Mwadhama Policarp Kadinali Pengo
JK akutana na Mwadhama Policarp Kadinali Pengo
Akiwa njiani kwenda Toronto, Canada kuhudhuria Mkutano wa 31 wa Shirikisho la Kimataifa la Wakunga Duniani, Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtembelea na kumjulia hali Mwadhama Policarp Kadinali Pengo akiwa hotelini Dubai njiani kurejea Dar es Salaam akitokea matibabuni. Rais Mstaafu amefurahishwa na kumuona Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo katika siha njema na amemtakia safari njema na maisha marefu.
Hivyo makala JK akutana na Mwadhama Policarp Kadinali Pengo
yaani makala yote JK akutana na Mwadhama Policarp Kadinali Pengo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JK akutana na Mwadhama Policarp Kadinali Pengo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/jk-akutana-na-mwadhama-policarp.html
0 Response to "JK akutana na Mwadhama Policarp Kadinali Pengo"
Post a Comment