Loading...

Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma

Loading...
Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma
link : Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma

soma pia


Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma

Mwambawahabari

ta1
Wakuu wa Idara wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wakijadili masuala mbalimbali walipotembelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, Bw. Ramadhan Maleta, katika mwanzo wa Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza Juni 16-23 kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
ta2
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Ramadhani Maleta akimsikiliza na Kaimu Mkurugenzi wa Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Bw.Joseph Nyahende (kushoto), wakati wa  kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza Juni 16 hadi 23. Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu, Bw. Mohamed Ally na kushoto ni Mkurugenzi Viwanja vya Mikoa, Bw. Valentine Kadeha.
ta3
Mkuu wa Kitengo cha Usalama katika jengo la kuwasili na kuondokea abiria mashuhuri la VIP kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Bw. Leonard Mbogoma (wapili kushoto)akimuelezea jambo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Ramadhan Maleta alipotembelea jengo hilo ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza Juni 16-23.
ta4
Kaimu Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Bw. Joseph Nyahende akimfafanulia jambo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Ramadhan Maleta ikiwa ni siku ya kwanza ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza Juni 16-23.
ta5
Ofisa Biashara wa JNIA, Bi. Herrieth Nyarusi (kushoto) akizungumza wakati Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Ramadhan Maleta alipotembelea Idara ya Biashara kusikiliza kero na maoni kutoka kwa watumishi, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Kulia ni Meneja wa Fedha (JNIA), Bw.Shadrack Chilongani na katikati ni Bw. Godfrey Kanyama.


Hivyo makala Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma

yaani makala yote Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/kaimu-mkurugenzi-taa-asikiliza-kero.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kaimu Mkurugenzi TAA asikiliza kero katika Wiki ya Utumishi wa Umma"

Post a Comment

Loading...