Loading...
title : Katibu Mkuu wa CCM Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu.
link : Katibu Mkuu wa CCM Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu.
Katibu Mkuu wa CCM Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu.
TAARIFA MUHIMU:
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana amepiga marufuku uuzaji wa fomu za uchaguzi kwa ngazi zote za uongozi ndani ya Chama.
Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Rodrick Mpogolo kwenda kwa Makatibu Wakuu wa Jumuiya imeeleza kuwa kwa mwanachama yeyote aliyeuziwa fomu arejeshewe pesa yake.
KIDUMUC CHAMA CHA MAPINDUZI.
Hivyo makala Katibu Mkuu wa CCM Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu.
yaani makala yote Katibu Mkuu wa CCM Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu wa CCM Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/katibu-mkuu-wa-ccm-apiga-marufuku_23.html
0 Response to "Katibu Mkuu wa CCM Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu."
Post a Comment