Loading...
title : MAFUNZO YA UANZISHWAJI MATUMIZI YA MASHINE ZA KIELETRONIC (EFD) YATOLEWA ZANZIBAR.
link : MAFUNZO YA UANZISHWAJI MATUMIZI YA MASHINE ZA KIELETRONIC (EFD) YATOLEWA ZANZIBAR.
MAFUNZO YA UANZISHWAJI MATUMIZI YA MASHINE ZA KIELETRONIC (EFD) YATOLEWA ZANZIBAR.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mafunzo kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja
Kamishna wa Bodi ya mapato Zanzibar Amour Hamil Bakari akitoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo kwa waandishi wa Habari kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Hits Fm Jazaa Kombo akiuliza maswali katika mafunzo kwa waandishi wa Habari kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
Mwandishi wa Habari wa Habari Leo Khatib Suleiman akiuliza maswali katika mafunzo kwa waandishi wa Habari kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
Meneja wa Sera ,Utafiti na Mipango Z R B Ahmed Haji Saadati akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali yalioulizwa katika mafunzo kwa waandishi wa Habari kuhusiana na Uanzishwaji wa matumizi ya Mashine za kieletroniki (EFD)yaliofanyika katika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.
Hivyo makala MAFUNZO YA UANZISHWAJI MATUMIZI YA MASHINE ZA KIELETRONIC (EFD) YATOLEWA ZANZIBAR.
yaani makala yote MAFUNZO YA UANZISHWAJI MATUMIZI YA MASHINE ZA KIELETRONIC (EFD) YATOLEWA ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAFUNZO YA UANZISHWAJI MATUMIZI YA MASHINE ZA KIELETRONIC (EFD) YATOLEWA ZANZIBAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mafunzo-ya-uanzishwaji-matumizi-ya.html
0 Response to "MAFUNZO YA UANZISHWAJI MATUMIZI YA MASHINE ZA KIELETRONIC (EFD) YATOLEWA ZANZIBAR."
Post a Comment