Loading...

Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi

Loading...
Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi
link : Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi

soma pia


Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi



Spika Mstaafu Anne Makinda akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).

Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi - Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. Kulia ni Mkuu wa Sehemu ya Uchumi na Utawala kutoka Umoja wa Ulaya (EU), Oliveier COUPLEUX na Mwakilishi Mkazi wa HSF Tanzania na Uganda, Bi. Julia Berger.

Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Spika Mstaa Anne Makinda (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi - Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).

Mratibu wa Mradi wa “Wanawake Viongozi - Nguvu ya Mabadiliko” Bw. Herry Lugala akifafanua jambo kuhusu mradi huo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi rasmi wa mradi huo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020, unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).

Spika Mstaafu Anne Makinda akiteta jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).

Spika Mstaafu Anne Makinda akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa WA Taasisi ya Women Fund Tanzania Bi. Rose Julius (kulia) wakati alipokuwa akitendelea maonyesho yaliyoenda sambamba na uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).

Spika Mstaafu Anne Makinda akiagana na Mwakilishi Mkazi wa HSF Tanzania na Uganda, Bi. Julia Berger wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU). Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther.

Spika Mstaafu Anne Makinda na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther wakati katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU). Picha zote: Frank Shija - MAELEZO


Hivyo makala Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi

yaani makala yote Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/maisha-wanawake-watakiwa-kujiamini-ili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maisha : Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi"

Post a Comment

Loading...