Loading...

MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI

Loading...
MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI
link : MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI

soma pia


MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI

Jovina Bujulu-MAELEZO.

Tanzania ni miongoni mwa nchi 193 zilizosaini mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na kuenea hali ya jangwa duniani (UNCCD). Mkataba huu unalenga kupambana na tatizo la uharibifu wa ardhi katika maeneo yenye ukame na kufanya juhudi za kuyahifadhi.

Mkataba huu ni muhimu kwa nchi yetu ambayo uchumi wake unategemea ardhi kwa ajili ya kilimo ambacho kinachochea maendeleo na ajira kwa wananchi walio wengi.

Hivi karibuni dunia iliadhimisha siku ya kupambana na kuenea kwa hali ya jangwa na ukame ambayo ilikiongozwa na kauli mbiu isemayo “Ardhi ni makazi yetu tuitunze kwa manufaa ya baadaye”. Kauli mbiu hii inahamasisha jamii kutunza ardhi kwa kuwa ndiyo makazi yetu.

Akiongea hivi karibuni mjini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba alisema kuwa kauli mbiu hii inahimiza jamii kuongeza juhudi za kutunza ardhi, na kuzingatia maendeleo endelevu ya rasilimali tulizo nazo kwa ajili ya maendeleo ya sasa na kwa vizazi vijavyo.

Madhumuni ya kuadhimisha siku hii ni pamoja na kuongeza uelewa miongoni mwa jamii na kujua athari za jangwa na ukame katika maisha ya kila siku ya binadamu na jinsi ya kuthibiti hali hiyo.

“Malengo hayo yanadhihirisha umuhimu wa utunzaji wa ardhi na udongo kwa matumizi endelevu hasa kwa ajili ya kilimo, mifugo, na huduma nyingine kama utalii wa wanyama pori na uwindaji.” Aliongeza Mhe. Makamba.



Hivyo makala MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI

yaani makala yote MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/makala-ya-matumizi-endelevu-ya-ardhi_29.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKALA YA MATUMIZI ENDELEVU YA ARDHI YATAEPUSHA JANGWA NA UKAME NCHINI"

Post a Comment

Loading...