Loading...

MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO.

Loading...
MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO.
link : MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO.

soma pia


MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO.

Ni maporomoko yanayopatikana katika safu za milima ya LIVINGSTONE karibu na kingo za ziwa Nyasa (MATEMA BEACH), kijiji cha Matema, wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Mto huu humwaga maji yake ziwa Nyasa.

Maporomoko haya yapo sehemu ambayo ni nzuri kwa (ku hike) ambapo huchukua takribani saa 1 (1hr) kutembea kwa mwendo wa kawaida (kwa miguu) kutoka katika kijiji cha Matema.

Ni nzuri kutembelea eneo hilo kwa muda wa ziada pale unapotembelea fukwe za ziwa Nyasa kwaajili ya mapumziko au sababu za kitalii kwa ajili ya zoezi la mwili, moja kati ya interesting moment ni pale katika kakilima ka mwisho kanakohitaji kupanda kwa kujivuta katika kamba.

Eneo lina sifa ya muonekano mzuri hasa wa rangi nyeupe ya maji yanayoporomoka katika miamba ya rangi ya mvuto ya kijivu.

Maporomoko haya yametengeneza bwawa zuri na la asili katikati ya miamba (mawe) ambacho ni kizuri kwa kuogelea, na kupigia picha

Ungependa kufika mahali hapa? Wasiliana na UYOLE CULTURAL TOURISM ENTERPRISE
Simu 0783545464,
Barua pepe: uyolecte@gmail.com


Hivyo makala MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO.

yaani makala yote MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/maporomoko-ya-maji-mwalalo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAPOROMOKO YA MAJI MWALALO."

Post a Comment

Loading...