Loading...

MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI

Loading...
MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI
link : MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI

soma pia


MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI

 Katibu wa taasisi ya vijana ya Tanzania Youth Icon (TAYI), Abdallah Ahmed Suleiman akimuonyesha Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN)nchini,  Alvaro Rodriguez (wakwanza kushoto),ramani ya mpango wa uboreshaji huduma ya maji katika jimbo la Kikwajuni.Mratibu huyo amefika jimboni hapo ikiwa ni juhudi za Mbunge wa Jimbo hilo,Mhandisi Hamad Masauni(watatu kushoto) katika juhudi zake za kutatua changamoto za  huduma ya maji kwa wananchi.
 Mkurugenzi Uzalishaji Maji wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Mhandisi Mohamed Elyas, akitoa maelezo ya Mradi wa Maji Kikwajuni kwa Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Alvaro Rodriguez alipotembelea mradi huo uliopo katika jimbo la Kikwajuni,Zanzibar.
 Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN)nchini,  Alvaro Rodrigues, akiangalia moja ya mabomba yanayotumika kusafirisha maji kwenda kwenye maeneo mbalimbali jimboni Kikwajuni ikiwa ni sehemu ya ushirikiano na Mbunge wa Jimbo hilo,Mhandisi Hamad Masauni katika kuhakikisha anamaliza tatizo la upungufu wa maji jimboni hapo.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA


Hivyo makala MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI

yaani makala yote MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/masauni-ashirikisha-wadau-wa-maendeleo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI"

Post a Comment

Loading...