Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017.

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017.
link : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017.

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017.

mwambawahabari
unnamed
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel  akiwa na Naibu Katibu wa Wizara hiyo Bi.Nuru Millao na Viongozi Waandamizi wa Wizara  wakifuatilia mijadala mbalimbali katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
1
Wabunge  kutoka Bunge la Msumbiji ambao ni wajumbe wa kamati ya Serikali za Mitaa kwa ambao wamekuja kwa  ziara ya mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
2
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza    kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
3
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) Mhe.Luhaga Mpina  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
4
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Hamad Masauni akifafanua jambo katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
5
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
6
Naibu Waziri wa Kilimo ,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
7
Naibu Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
8
Maafisa habari wa chama cha Public Relations Society of Tanzania (PRST) kutoka Jijini Mwanza  wakifuatilia kwa makini shughuli za Bunge  katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017.

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_19.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017."

Post a Comment

Loading...