Loading...

MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)

Loading...
MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)
link : MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)

soma pia


MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

MFANYABIASHARA wa Kariakoo, Casto  Ngogo (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na nguo za jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) za milioni 50.

Ngogo ambaye ni Mkazi wa Tabata Segerea amefikishwa mahakamani hapo mbele ya Hakimu Mkazi, Victoria Nongwa na kusomewa mashitaka yake na Inspekta msaidizi wa polisi Hamisi Saidi.

Imedaiwa kuwa, Juni 15, mwaka huu maeneo ya bandari kavu ya Galco iliyopo Chang'ombe wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Ngogo alikutwa na suruali 5,000 za JWTZ kwenye kontena namba PCIU 82851 (5) zenye thamani ya Sh milioni 59 mali ya serikali bila kuwa na kibali.

Hata hivyo, mshtakiwa amekana mashtaka hayo na yuko nje kwa dhamana  baada ya kutimiza masharti ya dhamama.

Akisoma masharti hayo ya dhamana, Hakimu Nongwa amemtaka mshitakiwa  kuwasilisha fedha taslimu  milioni 30 au hati ya mali isiyohamishika yenye thamani hiyo pamoja na wadhamini wawili watakaosaini ahadi ya milioni 10 kila mmoja.

Kesi imeahirishwa hadi Julai 17 mwaka huu itakapokuja kwa kutajwa. Kwa mujibu wa upande wa mashtaka, upelelezi bado haujakamilika


Hivyo makala MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)

yaani makala yote MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mfanyabiashara-wa-kariakoo-apandishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MFANYABIASHARA WA KARIAKOO APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NGUO ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)"

Post a Comment

Loading...