Loading...
title : MHE.SULUHU AHUDHURIA KONGAMANO LA MAZINGIRA
link : MHE.SULUHU AHUDHURIA KONGAMANO LA MAZINGIRA
MHE.SULUHU AHUDHURIA KONGAMANO LA MAZINGIRA
Mwambawahabari
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kufunga Kongamano la Kitaifa la Mazingira lililofanyika kwenye ukumbi wa kanisa Katoliki, Mwitongo Butiama.

Mama Maria Nyerere akichangia maoni yake wakati wa kufunga Kongamano la Taifa la Mazingira lililofanyika Mwitongo Butiama kwenye kilele cha Siku ya Mazingira Duniani ambayo kitaifa imeadhimishwa Butiama mkoani Mara. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MHE.SULUHU AHUDHURIA KONGAMANO LA MAZINGIRA
yaani makala yote MHE.SULUHU AHUDHURIA KONGAMANO LA MAZINGIRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MHE.SULUHU AHUDHURIA KONGAMANO LA MAZINGIRA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mhesuluhu-ahudhuria-kongamano-la.html
0 Response to "MHE.SULUHU AHUDHURIA KONGAMANO LA MAZINGIRA"
Post a Comment