Loading...
title : MILIONI 110 ZATOLEWA KUSAIDIA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI
link : MILIONI 110 ZATOLEWA KUSAIDIA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI
MILIONI 110 ZATOLEWA KUSAIDIA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI
Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez,akifunga bomba la maji katika moja ya maeneo ambayo Mradi wa Maji Kikwajuni ushakamilika. UNDP wameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni 110 za kitanzania kufanikisha kukamilika kwa mradi huo katika maeneo yote ya jimbo hilo.
Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez, akisadiana na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), kumtwisha mkazi wa jimbo hilo ndoo ya maji wakati wa ziara ya ukaguzi wa maeneo ulikopitia Mradi wa Maji Kikwajuni. UNDP wameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni 110 za kitanzania kufanikisha kukamilika kwa mradi huo katika maeneo yote ya jimbo hilo.Kulia ni Katibu wa taasisi isiyo ya kiserikali ya TAYI inayosimamia mradi huo, Abdallah Ahmed Suleiman.
Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez, akizungumza katika mkutano na wananchi wa eneo la Kikwajuni Mao, alipowatembelea baada ya kukagua maeneo unakopita Mradi wa Maji Kikwajuni ambapo aliahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 110 kupitia UNDP kukamilisha mradi huo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala MILIONI 110 ZATOLEWA KUSAIDIA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI
yaani makala yote MILIONI 110 ZATOLEWA KUSAIDIA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MILIONI 110 ZATOLEWA KUSAIDIA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/milioni-110-zatolewa-kusaidia-huduma-ya.html
0 Response to "MILIONI 110 ZATOLEWA KUSAIDIA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI"
Post a Comment