Loading...

Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba

Loading...
Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba
link : Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba

soma pia


Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba

 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa (ZSTC) Dk, Said Seif Mzee, akingalia Maendeleo ya Karafuu zilivyozaliwa Kisiwani Pemba. Picha na Habiba Zarali-- Pemba.
 Mdhamini wa Shirika la Biashara la Taifa Wilaya ya Mkaoni Pemba, Seif Suleiman Kassim, akimuonesha Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSTC , Dk, Said Seif Mzee, Mkarafuu jimsi Karafuu zilivyozaa huko Mahuduthi Kengeja Mkoani Pemba. Picha na Habiba Zarali -Pemba.
 Mkurugenzi  Mwendeshaji wa Shirika la ZSTC -Zanzibar, Dk, Said Seif Mzee, akikaguwa shamba la Mikarafuu la bwana Zahor Said Ali, huko Mahuduthi Mkoani Pemba. Picha na Habiba Zarali -Pemba.
 Mdhamini wa Shirika la ZSTC Pemba, Abdalla Ali Ussi, akichuma Karafuu ili kumuonesha Karafuu hizo Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika hilo baadhi ya Karafuu zilivyofikia.

Mkurugenzi mwendeshaji wa Shirika la ZSTC Zanzibar, Dk, Said Seif Mzee, akipata maelezo kutoka kwa mtoto wa mmiliki wa Shamba la Mikarafuu , Zahor Said Ali huko Mahuduthi Kengeja .

Picha na Habiba Zarali -Pemba.


Hivyo makala Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba

yaani makala yote Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mkurugenzi-mwendeshaji-zstc-akagua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkurugenzi Mwendeshaji ZSTC akagua mashamba ya Karafuu kisiwani Pemba"

Post a Comment

Loading...