Loading...
title : MREMA: RAIS MAGUFULI AWEKA HISTORIA MAPAMBANO YA UCHUMI
link : MREMA: RAIS MAGUFULI AWEKA HISTORIA MAPAMBANO YA UCHUMI
MREMA: RAIS MAGUFULI AWEKA HISTORIA MAPAMBANO YA UCHUMI
Na Mwandishi Wetu
Mwanasiasa mkongwe nchini Augustine Lyatonga Mrema amesema Rais John Pombe Magufuli ameweka historia ya mapambano ya uchumi nchini kutokana na namna ambavyo analishughulikia suala la madini.
Bwana Mrema amesema kuwa kitendo cha Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Cooperation Profesa John Thornton kusafiri usiku kucha kuja kuonana na Rais Magufuli na kukubali kuilipa Tanzania fedha zote ilizokoseshwa na Kampuni Acacia ni kielelezo kuwa sio tu kuwa ujumbe wake umefika lakini zaidi inadhihirisha kuwa madai yake dhidi ya kampuni hiyo ya uchimbaji madini ni ya msingi.
“Ni kiongozi gani barani Afrika aliyethubutu kuishutumu kampuni ya nje kama alivyofanya Rais Magufuli halafu viongozi wake wakasafiri kuonana na kiongozi huyo kutaka suluhu kama alivyofanya Mwenyekiti huyo wa Barrick kwa Tanzania?”alihoji Bwana Mrema.
Mwanasiasa huyo aliungana na wito wa Rais Magufuli wa kuwataka baadhi ya watu wanaowahusisha viongozi wastaafu na taarifa za Tume za Rais za kuchunguza Makinikia.
“Si vizuri na kwamba si sheria kwa mtu yeyote kuwatukana au kuwashambulia marais wastaafu kama ilivyo kwa Rais aliye maradakani na sheria inatoa dhabu kali kwa wanaofanya hivyo” alieleza bwana Mrema.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Hivyo makala MREMA: RAIS MAGUFULI AWEKA HISTORIA MAPAMBANO YA UCHUMI
yaani makala yote MREMA: RAIS MAGUFULI AWEKA HISTORIA MAPAMBANO YA UCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MREMA: RAIS MAGUFULI AWEKA HISTORIA MAPAMBANO YA UCHUMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mrema-rais-magufuli-aweka-historia.html
0 Response to "MREMA: RAIS MAGUFULI AWEKA HISTORIA MAPAMBANO YA UCHUMI"
Post a Comment