Loading...
title : MUFTI WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA SWALA YA EID EL FITRI
link : MUFTI WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA SWALA YA EID EL FITRI
MUFTI WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA SWALA YA EID EL FITRI
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubery Ali amesema kwamba mwenye mamlaka ya kutangaza mwezi ni ya Mufti Mkuu baada ya kushauriana na Kamati ya Mwezi. Baada ya Mufti kujiridhisha ndipo Bakwata huutangazia Umma kuhusu kuandama kwa mwezi.
Hivyo basi Mufti wa Tanzania amesema jana mjini Moshi kwamba leo Jumamosi Juni 24, 2017 kamati ya mwezi itaendelea kufuatilia kuandama kwa mwezi na ikiwa utaandama watautangazia umma kuwa Jumapili itakua Eid El Fitr na ikiwa hautoonekana basi itabidi kukamilisha siku 30 za mfungo wa Ramadhan na Eid kuswaliwa Jumatatu In Shaa Allah.
Juu na chini ni Taswira za Mapokezi ya Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary bin Zubeiry Ali alipowasili mkoani Kilimanjaro kwa aajili ya kuhudhururia Swala na Baraza la IDDI ambapo kitaifa itaswaliwa mkoani humo na mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Aidha Mwenyekiti wa CCM Mkoa Kilimanjaro nae alikua miongoni mwa waumini wa viongozi waliojitokeza kumlaki Muadhama Mufti
Hivyo makala MUFTI WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA SWALA YA EID EL FITRI
yaani makala yote MUFTI WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA SWALA YA EID EL FITRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MUFTI WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA SWALA YA EID EL FITRI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mufti-wa-tanzania-awasili-mkoani.html
0 Response to "MUFTI WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA SWALA YA EID EL FITRI"
Post a Comment