Loading...
title : NIDA KUTOA HUDUMA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA
link : NIDA KUTOA HUDUMA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA
NIDA KUTOA HUDUMA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewatangazia wananchi wote wakazi wa Dar es salaam kuwa watapatiwa ofa maalum ya vitambulisho vya uraia siku ya maonyesho ya sababa ya 41 yanayotarajiwa kufanyikia katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini DSM.
Aidha,taarifa hiyo imeeleza kwamba usajili huo utafanyikia kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni hadi Julai 10 mwaka huu.
==>Taarifa ya NIDA
Hivyo makala NIDA KUTOA HUDUMA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA
yaani makala yote NIDA KUTOA HUDUMA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NIDA KUTOA HUDUMA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/nida-kutoa-huduma-ya-kitambulisho-cha.html
0 Response to "NIDA KUTOA HUDUMA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA"
Post a Comment