Loading...

Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa

Loading...
Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa
link : Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa

soma pia


Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa



NA MWANDISHI WA K-VIS BLOG


WATU wasiojulikana wamechoma msitu wa Kirando wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa ambao umeunguza miundombinu ya umeme ya Shirika la umeme Nchini TANESCO.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jioni hii Juni 24, 2017 na Kaimu Meneja Uhusinao wa TANESCO makao Makuu, Bi. Leila Muhaji, imesema, uharibifu huo mkubwa wa miundombinu umeathiri upatikanaji wa umeme kwa wateja wa maeneo ya Kirando na Kipili wanaopata huduma ya umeme ya njia ya msongo mkubwa wa umeme unaopita kwenye maeneo hayo.


“Mafundi wa TANESCO waliofika kwenye eneo hilo, wameshuhudia uharibifu mkubwa ambapo miundombinu ya umeme imeungua na kusababisha hasara kubwa.” Alisema Bi Leila katika taarifa yake kwa vyombo vya habari.


Bi Leila amesema TANESCO inawaomba wananchi wote waishio kwenye maeneo hayo kutoa taarifa kwenye ofisi za TANESCO au kituo cha polisi kilicho karibu ili kuokoa miundombinu ya umeme kwa manufaa ya taifa.


Amesema, tayari vyombo vya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na TANESCO wameanza msako ili kuwabaini wahusika ili sheria ichukue mondo wake.

Afisa wa polisi akiwa eneo la tukio huku akishuhudia jinsi moto huo ulivyoathiri nguzo za umeme


Hivyo makala Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa

yaani makala yote Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/nishati-moto-waathiri-miundombinu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nishati : Moto Waathiri Miundombinu ya Umeme Mkoani Rukwa"

Post a Comment

Loading...