Loading...

NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya

Loading...
NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya
link : NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya

soma pia


NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (tatu kushoto) akiteteta jambo na Shekh wa Mkoa wa Mbeya, Mohamed Ally Mwansasu wa (pili kulia)wakati wa hafla ya futari iliyo andaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja wa NMB walio katika Mfungo wa Ramadhani Mkoa wa Mbeya. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Tughimbe mwishoni mwa wiki. Wengine katika picha ni maofisa wa Benki ya NMB. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker ( pili kulia) akitetea jambo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Dhairi Kidavashari mara baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliyo andaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja wa NMB walio katika Mfungo wa Ramadhani Mkoa wa Mbeya. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Tughimbe mwishoni mwa wiki. Mkuu wa Wilaya ya Chunya Rehema Madusa (kwanza kulia) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Ineke Bussemaker wa (kwanza kushoto) wakati wa hafla ya futari iliyo andaliwa na benki ya NMB kwa ajili wateja wa NMB walio katika Mfungo wa Ramadhani Mkoa wa Mbeya. Hafla hii ilifanyika katika Ukumbi wa Tughimbe mwishoni mwa wiki. Katikati ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi NMB, Margaret Ikongo. Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati NMB, Abdulmagid Nsekela (pili kushoto) akiteta jambo na Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini –Badru Idd, wakati wa hafla ya futari iliyo andaliwa na benki ya NMB kwa ajili wateja wa NMB walio katika Mfungo wa Ramadhani Mkoa wa Mbeya. Hafla hii ilifanyika katika Ukumbi wa Tughimbe mwishoni mwa wiki.


Hivyo makala NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya

yaani makala yote NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/nmb-yafuturu-pamoja-na-wateja-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NMB yafuturu pamoja na wateja wake waliofunga mkoani Mbeya"

Post a Comment

Loading...