Loading...
title : OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI
link : OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI
Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Ibrahim Mahumi akitoa ufafanuzi kuhusu taratibu zinazohusu menejimenti ya Rasilimaliwatu serikalini kwa viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe katika Ofisi za Halmashauri hiyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Bi. Amina Kiwanuka.
Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakizungumza masuala ya kiutumishi na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2017.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI
yaani makala yote OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/ofisi-ya-rais-utumishi-yatembelea.html
0 Response to "OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI"
Post a Comment