Loading...

PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11.

Loading...
PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11.
link : PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11.

soma pia


PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11.

Mwambawahabari

unnamed
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi ya mwaka 2016 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2017/2018 Bungeni Mjini Dodoma.

 Na Raymond Mushumbusi  DODOMA
JUNI 08/2017
Pato la kila mtanzania kwa mwaka 2016 limeongezeka kwa aslimia 11 kutoka shillingi 1,918,897 kwa mwaka 2015 mpaka kufikia shilling 2,131,299 kwa mwaka 2016.
Takwimu hizi zimebainishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango wakati akiwasilisha Bungeni Mjini Dodoma Taarifa ya Hali ya Uchumi ya mwaka 2016 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2017/2018.
Akifafanua kuhusu ongezeko hilo Mhe. Dkt Philip Mpango amesema kuwa Pato la Taifa kwa mwaka 2016 lilifikia Shillingi million 103,744,606 kwa bei za mwaka husika na kiasi hiki kiligawanywa kwa idadi ya watu 48,676,698 walipo Tanzania Bara na kufanya wastani wa Pato la kila mtanzania kufikia kiasi cha Shillingi 2,131,299.
Ameeleza kuwa kwa thamani ya Dola za Marekani, wastani wa pato la Kila mtu liliongezeka kutoka Dola 967.5 mwaka 2015 hadi Dola 979.1 kwa mwaka 2016 ikionesha kuwa Tanzania inaelekea kwenye kundi la Uchumi wa kati.
“Serikali inaendelea kutatua changamoto mbalimbali ili tuweze kufikia Uchumi wa Kati kwa kuongeza fursa mbalimbali za uzalishaji nchini” alisistiza Mhe. Dkt Mpango.
Mhe. Dkt. Phili Mpango ameongeza kuwa Serikali imejipanga kuboresha shughuli za uzalishaji wa tija katika Sekta zinazoajiri hususan katika Sekta ya Kilimo cha mazao,Ufugaji na Uvuvi.


Hivyo makala PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11.

yaani makala yote PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/pato-la-mtanzania-laongezeka-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11."

Post a Comment

Loading...