Loading...

Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza.

Loading...
Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza.
link : Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza.

soma pia


Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza.

Na Abubakar Kisandu Mwanza. 
Timu ya Mpira wa Kikapu (Basketball) ya Pemba imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali baada ya kuwatoa mabingwa watetezi timu ya Pwani kwa vikapu 33-32 kwenye Mashindano ya Michezo na Sanaa ya Skuli za Sekondari Tanzania (UMISSETA) katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Butimba huko mkoani Mwanza.

Pemba ikiwa mara yake ya kwanza kushiriki Mashindano hayo inaonekana imepania kubeba Kombe hilo baada ya muendelezo mzuri kwa kushinda michezo yake yote kwenye mashindano hayo.

Walianza kushinda vikapu 64-21 dhidi ya Manyara, kisha wakaichapa Rukwa kwa vikapu 41-18 na leo kuwatupilia mbali mabingwa watetezi Pwani kwa vikapu 33-32.

Sasa Pemba wanasubiri kucheza hatua ya Nusu fainali katika mchezo huo wa Kikapu.


Hivyo makala Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza.

yaani makala yote Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/pemba-utaipenda-kwa-basketball-yatinga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Pemba Utaipenda Kwa Basketball. Yatinga Nusu Fainali.Yawatoa Mabingwa Watetezi Pwani.Wapania Kubeba Kombe Kwa Mara ya Kwanza."

Post a Comment

Loading...