Loading...

PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU

Loading...
PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU
link : PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU

soma pia


PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU



Na John Luhende
Mwambawahabari
Mkuuwa Wilaya ya ilala Mhe. Sophia Mjema  amezitaka taasisi zote za kidini nchini kuwa na ushirikiano wa pamoja katika masuala ya kijamii na kiimani ili kuimarisha umoja na kudumisha amani na
 mshikamano wa kitaifa.

Mh Mjema ameyasema hayo jijini Dar es Salaam  katika Futari ya pamoja  iliyandaliwa na Taasisi ya ya Maridhiano Tanzania amabayo illiandaliwa kwa lengo la kuwaleta pamoja madhehebu ya Dini mbalimbali kutathinini mstakabali wa amani ya nchi .

Aidha Mhe. Mjema amaesema taasisis za kidini nchini zina mchango mkubwa katika kudumisha amani ya nchi kwa kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanawasikiliza viongozi wao wa kiro hivyo umoja wa viongozi hao utasaidia kwa kiasi kikubwa kulinda amani

Kwamujibu wa waandaaji wa Futari hiyo iliyodhaminiwa na Kampuni ya Super Doll ,watu wapatao  zaidi ya 400 walishisriki ,  ambapo wamesema utaratibu huu wa kufuturisha utakuwa endelevu na mwakani wamekusudia kufuturisha watu wapatao 1000.



Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema  aliye upande wa kulia akiwa katika mazungumzo na moja ya wageni waalikwa katika futari iliyoandaliwa  na taasisi ya Mridhiano.Tanzania.

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala  Mhe. Sophia Mjema  akisalimiana na baadhi ya viongozi na wageni waalikwa  walio hudhuria futari katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.



 Katibu  mkuu wa Taasisi ya Maridhiano tanzania  Osward Mlay aliyeko katikati  akisalimiana na viongozi   mbalimbali wa   taasisis hiyo





  Katibu  mkuu wa Taasisi ya Maridhiano tanzania  Osward Mlay aliyeko  akisisistiza jambo  wengine  ni moja wa viongozi   wa   taasisis hiyo







Mkuu wa Wilaya ya Ilala  Mhe. Sophia Mjema  akiwa  katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wageni waalikwa  katika futari ya taasisi ya Maridhiano Tanzainia .



Hivyo makala PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU

yaani makala yote PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/picha-dc-mjema-ashiriki-futari-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PICHA : DC MJEMA ASHIRIKI FUTARI KWA NIABA YA WAZIRI MKUU"

Post a Comment

Loading...