Loading...

PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO.

Loading...
PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO.
link : PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO.

soma pia


PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO.

mwambawahabari

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa magari mabovu kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akikagua gwaride wakati wa hafla ya kukabidhiwa magari mabovu kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, SACP Gilless B. Muroto akisoma taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es salaam mbele ya Mkuu wa Mkoa huo wakati wa hafla ya kukabidhiwa magari mabovu kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam
Baadhi ya magari Mabovu yaliyokabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akifatilia hafla ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda kukabidhiwa magari mabovu kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo (Kulia) na Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Mhe ally Happi (Kushoto) wakijadili jambo mara baada ya kumalizika hafla ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda kukabidhiwa magari mabovu kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam
Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akiyakagua magari mabovu aliyokabidhiwa kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam
Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akiyakagua magari mabovu aliyokabidhiwa kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, SACP Gilless B. Muroto akitoa maelezo ya magari hayo mabovu mbele ya Mkuu wa Mkoa huo Mhe Paul C. Makonda wakati wa hafla ya kukabidhiwa magari mabovu kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe Hashim Mgandilwa, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Ally Happi, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare makori, na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg john Lipesi Kayombo mara baada ya hafla ya kukabidhiwa magari mabovu kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda sambamba na wanajeshi wa Jeshi La Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakishirikiana kusukuma gari bovu tayari kwa safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro kwa matengenezo, wakati wa hafla ya kukabidhiwa magari mabovu kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaam
Picha na mathias Canal






Hivyo makala PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO.

yaani makala yote PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/picha-rc-makonda-akiwa-katika-hafla-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PICHA RC MAKONDA AKIWA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA MAGARI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM , KWAAJILI YA MATENGENEZO."

Post a Comment

Loading...