Loading...
title : PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI
link : PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI
PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akishuhudia jamii ya Wahadzabe wakitengeneza chakula cha mchana ambao ni unga utokanao na ubuyu. Kabila la Wahadzabe ni moja ya jamii za wawindaji na wakusanyaji wanaopatikana Tanzania ambao chakula chao kikuu ni nyama, matunda, mizizi na asali
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akionja unga wa ubuyu ambao ndiyo chakula maarufu cha jamii ya Wahadzabe.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo kuhusu nyumba maarufu za jamii ya Wahadzabe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo ya matumizi ya mshale katika jamii ya Wahadzabe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akichezewa ngoma maarufu ya jamii ya Wahadzabe ambayo huchezwa wakati wakimpokea Mgeni mwenye hadhi katika jamii.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akisaini kitabu cha Wageni mara alipowasilia katika kijiji cha Yaeda chini wilayani Mbulu mkoani Manyara.
Hivyo makala PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI
yaani makala yote PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/prof-jummane-maghembe-atembelea-jamii.html
0 Response to "PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI"
Post a Comment