Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu maarufu kama makinikia kwani katika ripoti zote mbili hakuna sehemu ambayo imewataja wastaafu kuhusika.
Waziri wa Mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi Mkoani Singida, Mwigulu Nchemba amesema Wezi hao walitafuta kichaka cha kutaja viongozi waliostafu ili kuzia serikali iache kufatilia sakata hilo, “Viongozi wetu hawajawai kuwa maagernt wa wale wanao tuibiwa maagernt tumewabaini ni wale wanao watetea wezi.” Tumekusogezea Video ya Habari hiyo.
Hivyo makala “RAIS AMETUNGUA VICHAKA” MWIGULU NCHEMBA
yaani makala yote “RAIS AMETUNGUA VICHAKA” MWIGULU NCHEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala “RAIS AMETUNGUA VICHAKA” MWIGULU NCHEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/rais-ametungua-vichaka-mwigulu-nchemba.html
0 Response to "“RAIS AMETUNGUA VICHAKA” MWIGULU NCHEMBA"
Post a Comment