Loading...

Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo

Loading...
Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo
link : Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo

soma pia


Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo

 Waislamu wanawake wakiwa katika Swala ya Eid  el fitri iliyoongozwa na Sheikh Fadhil Soraga katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjni Unguja leo katika Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo  Viongozi  wa Kitaifa na Waislamu mbali mbali walihudhuria [Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
 Baadhi ya waislamu wanaume waliohudhuria katika swala ya EId elfitri wakimsikiliza  Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar  Sheikh Fadhil Soraga aklipokuwa akitoa khutba ya Swala ya El Idd elfitri iliyoswaliwa katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
 Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga   alipokuwa akitoa khutba baada ya Swala ya El Idd elfitri iliyoswaliwa katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan aliyohudhuriwa na Viongozi  wa Kitaifa na Waislamu mbali mbali wa Mkoa wa Mjini Magharibi  leo, [Picha na Ikulu.] 26/06/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi mbali mbali baada ya Swala ya ElIdd Fitri iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherekekea kumalizika kwa Mfungo wa MweziMtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi mbali mbali baada ya Swala ya ElIdd Fitri iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherekekea kumalizika kwa Mfungo wa MweziMtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.


Hivyo makala Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo

yaani makala yote Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/rais-dk-shein-ashiriki-swala-ya-eid-el.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Dk Shein ashiriki swala ya Eid el Fitr viwanja vya Maisara leo"

Post a Comment

Loading...