Loading...
title : Sheikh Shariff afanya Dua nzito Dar es salam, aelekea Arusha kufanya dua maalum la kumaliza mfungo
link : Sheikh Shariff afanya Dua nzito Dar es salam, aelekea Arusha kufanya dua maalum la kumaliza mfungo
Sheikh Shariff afanya Dua nzito Dar es salam, aelekea Arusha kufanya dua maalum la kumaliza mfungo
Sheikh Shariff Majini siku ya Jumamosi tarehe 24-06-2017 alifanya Dua nzito katika ukumbi wa Star Light Hotel uliopo Jijini Dar.
Dua ya Sheikh Shariff ilianza saa moja asubuhi na kumalizika saa saa saba mchana.. Mara baada ya dua Sheikh amesafiri mpaka Arusha tayari kwa kufanya Dua maalum la kumaliza mwezi mtukufu mara baada ya kuombwa sana kupitia simu ilo arudi.
Sheikh atafanya Dua kwa siku mbili mfululizo Eid Pili na Eid Tatu katika viwanja vya soko la Kilombero stendi ya vi hiace Jijini Arusha kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jioni.
Sheikh Shariff Majini akifanya dua siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Star Light Hotel uliopo Jijini Dar es salaam.
Sehemu ya umati mkubwa uliohudhuria wakati Sheikh Shariff Majini akifanya dua siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Star Light Hotel uliopo Jijini Dar es salaam.
Sheikh Shariff Majini akiendelea na dua siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Star Light Hotel uliopo Jijini Dar es salaam.
Hivyo makala Sheikh Shariff afanya Dua nzito Dar es salam, aelekea Arusha kufanya dua maalum la kumaliza mfungo
yaani makala yote Sheikh Shariff afanya Dua nzito Dar es salam, aelekea Arusha kufanya dua maalum la kumaliza mfungo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sheikh Shariff afanya Dua nzito Dar es salam, aelekea Arusha kufanya dua maalum la kumaliza mfungo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/sheikh-shariff-afanya-dua-nzito-dar-es.html
0 Response to "Sheikh Shariff afanya Dua nzito Dar es salam, aelekea Arusha kufanya dua maalum la kumaliza mfungo"
Post a Comment