Loading...
title : Sheikh Shariff Majini atikisa jiji la Arusha
link : Sheikh Shariff Majini atikisa jiji la Arusha
Sheikh Shariff Majini atikisa jiji la Arusha
Sheikh Shariff Majini ambaye yupo ziarani Jijini Arusha leo Jumamosi tarehe 03 Juni 2017 amefanya mkutano mkubwa katika Stand ya Hiace jirani na soko la Kilombero Jijini Arusha.
Mkutano wa Sheikh Shariff utaendelea kesho Jumapili tarehe 04 kuanzia saa mbili asubuhi hapo hapo katika viwanja vya Stendi ya Hiace Soko la Kilombero. Baada ya Arusha Sheikh Shariff atafanya ziara Mkoani Tanga siku ya Jumamosi tarehe 10 na Jumapili tarehe 11 mwazi huu wa Juni.
Sehemu ya umati wa wakaazi wa Arusha waliojitokeza kwenye mkutano wa Sheikh Shariff Majini katika Stand ya Hiace jirani na soko la Kilombero Jijini Arusha.
Sheikh Shariff Majini akimuombea Mzee mwenye maradhi ya miguu..
Sheikh Shariff Majini akimuombea mtoto mwenye matatizo
Sehemu ya umati wa wakaazi wa Arusha waliojitokeza kwenye mkutano wa Sheikh Shariff Majini katika Stand ya Hiace jirani na soko la Kilombero Jijini Arusha.
Hivyo makala Sheikh Shariff Majini atikisa jiji la Arusha
yaani makala yote Sheikh Shariff Majini atikisa jiji la Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sheikh Shariff Majini atikisa jiji la Arusha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/sheikh-shariff-majini-atikisa-jiji-la.html
0 Response to "Sheikh Shariff Majini atikisa jiji la Arusha"
Post a Comment