Loading...
title : SHEREHE ZA EID EL FITR DMV ILIYOANDALIWA NA TAMCO YAFANA
link : SHEREHE ZA EID EL FITR DMV ILIYOANDALIWA NA TAMCO YAFANA
SHEREHE ZA EID EL FITR DMV ILIYOANDALIWA NA TAMCO YAFANA
Mwenyekiti wa TAMCO (Jumuiya ya Waislamu DMV) Bwn Ally Mohamed akitoa salamuza Eid El Fitr kwa Waislam na marafiki zao DMV kwenye sherehe ya Eid El Fitr iliyofanyika siku ya Jumapili June 25, 2017 Silver Spring, Maryland.Picha na Vijimambo Blog na Kwanza production.
Kushoto ni Balozi Mustafa Nyang"anyi akijumuika kwenye sherehe ya Eid El Fitr na Watanzania DMV.
Balozi Mustafa Nyang"anyi akifuatilia sherehe ya Eid El Fitr iliyofanyika Sliver Spring, Maryland siku ya Jumapili June 25, 2017, kulia ni Seif Ameir.
Watanzania DMV wakijumuika pamoja katika sherehe ya Eid El Fitr iliyofanyika Silver Spring, Maryland siku ya Jumapili June 25, 2017.
Hivyo makala SHEREHE ZA EID EL FITR DMV ILIYOANDALIWA NA TAMCO YAFANA
yaani makala yote SHEREHE ZA EID EL FITR DMV ILIYOANDALIWA NA TAMCO YAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHEREHE ZA EID EL FITR DMV ILIYOANDALIWA NA TAMCO YAFANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/sherehe-za-eid-el-fitr-dmv.html
0 Response to "SHEREHE ZA EID EL FITR DMV ILIYOANDALIWA NA TAMCO YAFANA"
Post a Comment