Loading...
title : SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA
link : SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA
SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wanafunzi wa Shule Secondari ya Banyibanyi iliyopo wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, baada ya kuwapatia vitabu vilivyotolewa na Mtandao wa kuondoa umasikini.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimkabidhi vitabu Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Sejeli Ndg.Gerald Kagali ikiwa ni zawadi kwa Shule hiyo, Msaada uliotolewa na Mtandao wa kuondoa umasikini, tukio lililofanyika leo kijijini Mbande Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Mtandao huo Ndg. Mungwe Athman.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya sekondari Banyibanyi katika tukio lililofanyika leo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/spika-ndugai-akabidhi-vitabu-vya.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA"
Post a Comment