Loading...

SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU

Loading...
SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU
link : SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU

soma pia


SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MASHINDANO ya Sprite BBall Kings yameendelea tena juzi kwa michezo mitano kupigwa katika uwanja wa Habours Club Mivinjeni na kufanikisha kupatikana kwa timu zitakazoungana na zingine za wiki iliyopita.
Hiyo ni raundi ya pili ya mashindano hayo ikiwa ni muendelezo wa michezo ya mtoano iliyoanza takribani wiki tatu zilizopita ili kumpata bingwa wa Sprite BBall Kings 2017.
Mchezo wa kwanza uliwakutanisha timu za Mchenga na Ukongana timu ya Mchenga kuibuka na ushindi wa vikapu 115 dhidi ya 63 za Ukonga.
Mechi ya pili iliwakutanisha Ardhi ambaye alitoka na ushindi wa vikapu 60 dhidi ya Heroes B aliyepata vikapu 42, Flying D wakaumana na UDSM na kufanikiwa kushinda kwa vikapu 68 dhidi ya vikapu 45.
Mechi ya nne iliwakutanisha Kigamboni na St Montfort na ulimalizika kwa vikapu 71 vya Kigamboni dhidi ya 40 vya Montfort huku mechi ya mwisho ikiwa ni DMI aliyetoka na vikapu

Timu ya Mchenga (Njano) wakiumama katika hatua ya pili ya michuano ya Sprite BBalla Kings dhidi ya Ukonga katika mechi iliyopigwa Harbours Club Mivinjeni na Mchenga kutoka na ushindi wa vikapu 115 dhidi ya 63. 

Timu ya Kigamboni Heroes (wekundu) wakisalimiana na St Montfort kabla ya mchezo wao wa hatua ya pili ya Sprite BBall Kings uliofanyika katika uwanja wa Harbours Club Mivinjeni na Kigamboni kuibuka na ushindi wa vikapu 71 dhidi ya 40
 Mohamed Yusuph mchezaji wa Mchenga akipiga pigo la adhabu kwa timu yake katika mchezo wa hatua ya pili ya michuano ya Sprite Bball Kings uliomalizika kwa Mchenga kupata ushindi wa vikapu 115 dhidi ya 63 vya Ukonga. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA


Hivyo makala SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU

yaani makala yote SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/sprite-bball-kings-yaingia-hatua-ya_19.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPRITE BBALL KINGS YAINGIA HATUA YA MTOANO, DROO KUCHEZWA LEO USIKU"

Post a Comment

Loading...