Loading...

Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam.

Loading...
Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam.
link : Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam.

soma pia


Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam.

Waumini wakiwa nje ya Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani wakisubiri kuswali swala ya Iddi El Fitri, jijini Dar es Salaam leo.(Picha zote na Kassim Mbarouk-http://ift.tt/1jv00WK)
Waumini wakiswali swala ya Iddi El Fitri kwenye Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, jijini Dar es Salaam leo. Swala hiyo iliongozwa na Msaidizi wa Imamu Mkuu, Sheikh Ally Bakari, hotuba ikasomwa na msaidizi wa pili wa Imamu, Sheikh Abubakar Khamisi na mawaidha yakatolewa na Imamu Mkuu, Sheikh Muhammad Idd Muhammad.
Waumini wakiwa kwenye Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, jijini Dar es Salaam, wakisikiliza hotuba ya swala ya Iddi El Fitri iliyokuwa ikitolewa na Msaidizi wa pili wa Imamu, Sheikh Abubakar Khamisi.
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, akitoa tafsiri ya hotuba ya Swala ya Iddi El Fitri. 
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, akitoa tafsiri ya hotuba ya Swala ya Iddi El Fitri.  
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, akitoa mawaidha wakati wa Swala ya Iddi El Fitri.  
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, akitoa mawaidha wakati wa Swala ya Iddi El Fitri.  
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, akimpa mkono wa Iddi El Fitri mmoja wa watoto waliofika msikitini hapo.  
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, akipiga picha na mmoja wa waumini wakati wa kutakiana heri ya Sikukuu ya Iddi El Fitri na waumini. 
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, akitakiana heri ya Sikukuu ya Iddi El Fitri na watoto waliofika katika msikiti huo kwa ajili ya swala ya Iddi El Fitri. 
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, akitakiana heri ya Sikukuu ya Iddi El Fitri na waumini. 
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni kwa Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, akitakiana heri ya Sikukuu ya Iddi El Fitri na waumini.


Hivyo makala Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam.

yaani makala yote Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/swala-ya-eid-el-fitri-iliofanyika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Swala ya Eid el Fitri Iliofanyika katika Msikiti wa Buguruni Kwa Mnyamani Jijini Dar es Salaam."

Post a Comment

Loading...