Loading...
title : TANGAZO KWA UMMA
link : TANGAZO KWA UMMA
TANGAZO KWA UMMA
Menejimenti ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF inapenda kuwafahamisha Wanachama na Umma kwa ujumla kuwa Ofisi ya Kanda ya Dar es Salaam iliyopo Mtaa wa Mkwepu, Jengo la Diplomatic House, katikati ya jiji la Dar es Salaam itahamia rasmi kwenye jengo la LAPF Millenium Towers, ghorofa ya tatu, lililopo barabara ya Ali Hassan mwinyi eneo la Makumbusho kuanzia tarehe 01/07/2017. Hivyo wanachama na wadau wote wa Mfuko wataendelea kupata huduma kulingana na matarajio yao katika mazingira yaliyoboreshwa zaidi. Karibuni sana tuwahudumie.
“Ishi na Staafu kwa Ufahari na LAPF”
Hivyo makala TANGAZO KWA UMMA
yaani makala yote TANGAZO KWA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANGAZO KWA UMMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/tangazo-kwa-umma.html
0 Response to "TANGAZO KWA UMMA"
Post a Comment