Loading...
title : UEFA REAL MADRID BINGWA TENA, YAIKALISHA JUVENTUS
link : UEFA REAL MADRID BINGWA TENA, YAIKALISHA JUVENTUS
UEFA REAL MADRID BINGWA TENA, YAIKALISHA JUVENTUS
Mwambawahabari
Timu ya Real imeweka Historia Nyingine Baada ya Usiku Huu Kufanikiwa Kutwaa Ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya mara mbili mfululizo Kufuatia Ushindi Wa Mabao 4 kwa 1 Dhidi Ya Juventus Ya Italia, Mchezo uliochezwa kwenye Dimba la Millennium mjini Cardiff, Wales.
Shujaa Katika mchezo wa Leo Alikuwa Christian Ronaldo Baada ya Kufunga Mabao Mawili Kwenye Ushindi Huo Wa Madrid Huku Mabao Mengine Yakifungwa Na Casemiro Sambamba Na Asensio
Bao la kufutia machozi la Juventus Ambao walionekana Kupambana Mwanzo Mpaka Mwisho bila mafanikio limefungwa na Mario Mandzukic
Kocha wa Real Madrid Zinadane Zidane Amefanikiwa kuipa Real Madrid Kombe Hilo Mara mbili Mfululizo Hivyo Baada ya kuichezea Timu Hiyo Kwa Mafanikio Leo Ameandika Historia Nyingine akiwa Kama Kocha Mkuu.
Hivyo makala UEFA REAL MADRID BINGWA TENA, YAIKALISHA JUVENTUS
yaani makala yote UEFA REAL MADRID BINGWA TENA, YAIKALISHA JUVENTUS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UEFA REAL MADRID BINGWA TENA, YAIKALISHA JUVENTUS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/uefa-real-madrid-bingwa-tena-yaikalisha.html
0 Response to "UEFA REAL MADRID BINGWA TENA, YAIKALISHA JUVENTUS"
Post a Comment