Loading...
title : UTUMISHI YAWAAGA WATAALAM 14 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN WALIOKUJA KUTOA HUDUMA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI
link : UTUMISHI YAWAAGA WATAALAM 14 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN WALIOKUJA KUTOA HUDUMA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI
UTUMISHI YAWAAGA WATAALAM 14 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN WALIOKUJA KUTOA HUDUMA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI
Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bw.Hiroki TAMURA akielezea namna alivyofanya kazi katika Chuo cha Utalii Zanzibar, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bi. Moemi Ikeda akielezea namna alivyofanya kazi katika Shule ya Msingi Lusanga-Morogoro, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bw. Fundikira Ekerege (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya elimu yaliyowasilishwa katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan Bi. MIDORI MIYAZAKI aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan Bw. Shota Yanagisawa aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (wa tano kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao wa kutoa huduma nchini baada ya hafla ya kuwaaga iliyofanyika UTUMISHI leo.
Hivyo makala UTUMISHI YAWAAGA WATAALAM 14 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN WALIOKUJA KUTOA HUDUMA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI
yaani makala yote UTUMISHI YAWAAGA WATAALAM 14 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN WALIOKUJA KUTOA HUDUMA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UTUMISHI YAWAAGA WATAALAM 14 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN WALIOKUJA KUTOA HUDUMA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/utumishi-yawaaga-wataalam-14-wa.html
0 Response to "UTUMISHI YAWAAGA WATAALAM 14 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN WALIOKUJA KUTOA HUDUMA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI"
Post a Comment