Loading...

Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria

Loading...
Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria
link : Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria

soma pia


Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria

Mkuu wa mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa, akifungua kikao hicho, pembeni kulia ni Mratibu wa LVEMP Bw. Omari Myanza.
Na Atley Kuni,  Mwanza.

Serikali mkoani hapa, imewapa jukumu kubwa viongozi wa dini kutoka baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa kuhakikisha wanakuwa bega kwa bega katika kulitunza ziwa Viktoria na Maliasili zake ili liweze kuwa tegemeo kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Akifungua Semina ya siku moja mkoani hapa Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, na risala yake kusomwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa, Mongella amesema, viongozi wa dini wanalo jukumu kubwa kwani wao husimamia imani za watu.
Baba Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo katoliki Musoma Mkoani Mara akiongea na Waandishi wa habari nje ya Mkutano huo kuelezea umuhimu wa mazingira.

“Ninyi Viongozi wa dini dhima mliyonayo ndani ya jamii ni kubwa sana na chochote mtakacho waelekeza waumini wenu lazima waweze kukitekeleza, hivyo niwaombe sana viongozi wangu tulilinde ziwa viktoria kwa jitihada zetu zote’’ alisema Mongella.

Aidha Mongella amesema kuwa, kuwepo kwa Ziwa Victoria ni fursa ya uendelezaji ya kauli mbiu ya “Tanzania ya Viwanda” ambayo Serikali ya awamu ya Tano inasisitiza, “Ziwa hili linasaidia upatikanaji wa rasilimali zinazotumika kwa matumizi ya nyumbani na viwandani, usafiri na usafirishaji na uzalishaji wa nishati ya umeme Hivyo basi hatuna budi kuhifadhi mazingira ya Ziwa na Bonde lake” amesisitiza Mkuu huyo wa mkoa.

Kwa upande wao, viongozi wa dini wakiongea wamesema, wao wanatambua na hata vitabu vya dini vinaelekeza juu ya mwanadamu anachopaswa kufanya katika kulinda mazingira ikiwepo ziwa Viktoria.
Sheik Hassan Kabeke, akiafafnua jambo kwa waandishi wa habari nje ya Warsha hiyo namna suala la mazingira linavyo tajwa katika Kuran tukufu.

Mwenyekiti mwenza wa Kamati ya amani ya madhehebu ya dini katika Mkoa wa Mwanza, Sheik Hassan Kabeke, amesema katika Uislam na hususan ni katika mafundisho ya Mtume Muhama S.A.W, inafafanua juu ya mito miwili yaani mto Nile na Furabu ambayo mtume aliipitia huku akisema kwamba, Mto Nile ambao unafungamanishwa na Ziwa Viktoria Mtume amesisitiza kuyatunza mazingira, “Katika kupanda miti kwenye uislamu mtu hupata thawabu, tunaimani kabisa kwamba kila mmoja wetu akitunza mazingira ni sehemu ya Ibada, amesema Kabeke. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria

yaani makala yote Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/viongozi-wa-dini-kanda-ya-ziwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Viongozi wa Dini kanda ya Ziwa Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira Ziwa Victoria"

Post a Comment

Loading...