VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIAlink :
VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA
VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson akitoa mkono wa pole kwa mama Mjane wa Marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo ,Ndehorio Ndesamburo alipotembelea nyumbani kwa marehemu kuifariji familia.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni ,Freeman Mbowe akitoa mkono wa Pole kwa mjane wa marehemu Dkt Ndesamburo ,Ndehorio Ndesamburo nyumbani kwake KDC mjini Moshi.
Waziri wa Malisili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akitoa pole kwa mama mjane wa marehemu Ndesamburo nyumbani kwake KDC mjini Moshi.
Mbunge wa jimbo la Same Magharibi ,David Mathayo David akitia saini katika kitabu cha waombolezaji nyumbani kwa marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Idd Juma akitia saini katika kitabu cha waombolezaji nyumbani kwa marehemu Ndesamburo KDC Mjini Moshi.
Mkuu wa mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Rombo Joseph Selasini walipokutana nyumbani kwa marehemu Ndesamburo.
Hivyo makala VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA
yaani makala yote VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/viongozi-wamiminika-nyumbani-kwa.html
Related Posts :
NEWZ ALERT:MTOTO WA MIEZI TISA AFA AJALINI BAADA YA BASI LA POLISI, NOAH KUGONGANA USO KWA USO MOROGORO
*Dereva wa Noah naye afariki, askari JWTZ, Polisi wajeruhiwa
Na Ripota Wetu,Morogoro
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro Ulrich Mate… Read More...
POLISI YAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA KUKUTWA NA SILAHAJOSEPH MPANGALA - MTWARA
Polisi Mkoa wa Mtwara Linawashikilia watu wawili Kwa kukutwa na Silaya aina ya Gobore na Shortgun pamoja… Read More...
WAKINABABA ZAIDI YA 2,000 WAKUBALI KUTOA MALEZI BORA KWA WATOTO WAO, 90 WAPIMA DNA.… Read More...
Uvutaji Wa Sigara Na Unywaji Wa Pombe Uliokithiri Husababisha Magonjwa Ya Mishipa Ya Damu Ya Moyo
Brighton James – JKCI.
Watanzania wameshauriwa kufanya mazoezi, kula vyakula bora, kuepuka uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe uliokith… Read More...
AZAM vs MTIBWA, SASA KUPIGWA SAA 10 JIONI.
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MCHEZO kati ya Klabu ya Azam FC na Mtibwa Sugar uliotarajiwa kuchezwa saa 8 mchana umefanyiwa mabadilik… Read More...
0 Response to "VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA"
Post a Comment