Loading...
title : WADAU WAMTEMBELEA NAIBU SPIKA DKT TULIA MJINI DODOMA
link : WADAU WAMTEMBELEA NAIBU SPIKA DKT TULIA MJINI DODOMA
WADAU WAMTEMBELEA NAIBU SPIKA DKT TULIA MJINI DODOMA
Jana, Juni 1, 2017, Wakurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Soka Tanzania (TFDF), Derek Murusuri na Taasisi ya Media Tanzania (TMF) Ernest Sungura, walimtembelea Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, ofisini kwake mjini Dodoma. Pichani, Bw Sungura akiongea na Mh Naibu Spika, Dk Tulia Ackson.
Hivyo makala WADAU WAMTEMBELEA NAIBU SPIKA DKT TULIA MJINI DODOMA
yaani makala yote WADAU WAMTEMBELEA NAIBU SPIKA DKT TULIA MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WAMTEMBELEA NAIBU SPIKA DKT TULIA MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/wadau-wamtembelea-naibu-spika-dkt-tulia.html
0 Response to "WADAU WAMTEMBELEA NAIBU SPIKA DKT TULIA MJINI DODOMA"
Post a Comment