Loading...
title : WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM
link : WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM
WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM
Wakazi wa kanda ya Pwani wameipokea kwa furaha kubwa huduma mpya ya Ukarimu inayotolewa na Vodacom Tanzania wakati huu wa msimu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani inayolenga kutoa ushirika na utoaji.
Ukarimu huu wa Vodacom unakwenda sambamba na kuwapatia wateja kifurushi kinachowawezesha kupata Qaswida, Mawaidha, Hadith, Facebook yenye picha na kuzungumza usiku wanaposubiri daku BURE kabisa. Ili mteja aweze kunufaika na bando hili la Ukarimu anatakiwa kupiga *149*01# kisha kuchagua aina ya bando kulingana na uwezo wake wa kifedha. Lipo bando linalodumu kwa muda wa saa 24 na linalodumu kwa siku saba.
Kwa kiasi cha shilingi 1000, mteja atapata dakika 150 Vodacom kwenda Vodacom, dakika 10 kwenda mitandao yote, ujumbe mfupi wa maandishi wa maandhishi bila kikomo, simu kupitia mtandao pamoja na ujumbe wa didi bure.
Kwa mteja atakayenunua bando la shilingi 3000 atapata dakika 150 Vodacom kwenda Vodacom, dakika 30 kwenda mitandao mingine, ujumbe mfupi wa maandishi bila kikomo, simu za bure usiku Vodacom kwenda pamoja na ujumbe mfupi wa maandishi wa dini bure kwa siku saba.
Siku ya leo Vodacom wanaendelea na futurisha katika maeneo yafuatayo
Tangax
Nyako
Mtindiro Kwabeda
Korogwe mjini
Mtwara
Newala
Lindi
Kilwa somanga
Kilwa chumo
Ruangwa namungo

Hivyo makala WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM
yaani makala yote WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/wakazi-wa-pwani-waifurahia-huduma-ya.html
0 Response to "WAKAZI WA PWANI WAIFURAHIA HUDUMA YA UKARIMU YA VODACOM"
Post a Comment