Loading...
title : Wakulima wa Tumbaku waomba serikali kupambana na changamoto zinazoikumba sekta hiyo
link : Wakulima wa Tumbaku waomba serikali kupambana na changamoto zinazoikumba sekta hiyo
Wakulima wa Tumbaku waomba serikali kupambana na changamoto zinazoikumba sekta hiyo
Rais wa Chama cha Wakulima wa Tumbaku Duniani(ITGA), Daniel Green(wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu mkutano unaoendelea wa kujadili changamoto zinazoikumba secta ya Tumbaku.Mazungumzo hayo yalifanyika katika Hoteli ya Lamada Dar es Salaam jana.Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Chama hicho(CEO), Antonio Abrunhosa na kutoka ktoka kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha Tumbaku Tanzania(FDTU), Miraji Mgalula na Mkurugenzi msaidizi wa Wizara ya Kilimo,Ufugaji na Uvuvi, Dk.Jackson Nkuba.
Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wakulima Duniani(CEO), Antonio Abrunhosa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu mkutano unaoendelea wa kujadili changamoto zinazoikumba secta ya Tumbaku unaofanyika katika Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.Kulia ni Rais wa Chama hicho, Daniel Green.
Mkurugenzi msaidizi wa Wizara ya Kilimo,Ufugaji na Uvuvi, Dk.Jackson Nkuba(kulia), akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu mkutano unaoendelea wa kujadili changamoto zinazoikumba secta ya Tumbaku unaofanyika katika Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Rais wa Chama cha Wakulima wa Tumbaku Duniani, Daniel Green na Mtendaji Mkuu wa Chama hicho(CEO), Antonio Abrunhosa.
Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wakulima wa Tumbaku Tanzania (Flue & Dark Tobacco Unio), Miraji Mgalula (kulia), akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu mkutano unaoendelea wa kujadili changamoto zinazoikumba secta ya Tumbaku unaofanyika katika Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.Wapili kushoto ni Mkurugenzi msaidizi wa Wizara ya Kilimo,Ufugaji na Uvuvi, Dk.Jackson Nkuba na Rais wa Chama cha Wakulima wa Tumbaku Duniani, Daniel Green.
Hivyo makala Wakulima wa Tumbaku waomba serikali kupambana na changamoto zinazoikumba sekta hiyo
yaani makala yote Wakulima wa Tumbaku waomba serikali kupambana na changamoto zinazoikumba sekta hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wakulima wa Tumbaku waomba serikali kupambana na changamoto zinazoikumba sekta hiyo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/wakulima-wa-tumbaku-waomba-serikali.html
0 Response to "Wakulima wa Tumbaku waomba serikali kupambana na changamoto zinazoikumba sekta hiyo"
Post a Comment