Loading...
title : WANANCHI WA KIJICHI WAOMBA UKARABATI WA BARABARA YA KIJICHI
link : WANANCHI WA KIJICHI WAOMBA UKARABATI WA BARABARA YA KIJICHI
WANANCHI WA KIJICHI WAOMBA UKARABATI WA BARABARA YA KIJICHI
Mwambawahabari
Eneo la Barabara ya Mtoni Kijichi yenye urefu wa Kilomita 0.9 ikiwa imeharibiwa na mvua na kusababisha kufungwa kwa barabara hiyo kwa muda wa mwezi mmoja sasa.
Barabara hiyo ni njia kuu ya wapita kwa miguu na magari pia kutokana na njia hiyo kuunganisha maeneo ya Kota za Benki, Nasako, Kota za Polisi na Jeshi na Polisi na shule ya Sekondari Neluka na Shule ya Sekondariu ya Mbagala Kuu.
Wananchi wa eneo hilo wamesema kuwa barabara hiyo inahatarisha sana kwani watoto wao wamapokuwa wanapita katika njia hiyo wanaweza wakajisahau na kutaka kuchungulia ili kuona ndani kuna nini na kuweza kuanguka pia, pia kuna baadhi ya watoto ambao ni watundu huamua kuingia ndani ya shimo na wengine kushindwa kutoka.
Wameiomba serikali kuikarabati barabara hiyo ambayo inaunganisha maeneo makubwa ya kata ya Kijichi.
Hivyo makala WANANCHI WA KIJICHI WAOMBA UKARABATI WA BARABARA YA KIJICHI
yaani makala yote WANANCHI WA KIJICHI WAOMBA UKARABATI WA BARABARA YA KIJICHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WA KIJICHI WAOMBA UKARABATI WA BARABARA YA KIJICHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/wananchi-wa-kijichi-waomba-ukarabati-wa_30.html
0 Response to "WANANCHI WA KIJICHI WAOMBA UKARABATI WA BARABARA YA KIJICHI"
Post a Comment