Loading...
title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Balozi wa Morocco nchini, Mheshimiwa Abdelilah Benrwayane katika futari aliyoiandaa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Juni 8, 2017.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge, Azan Mussa Zungu (kulia kwake), Mbunge wa Mbarali, Haroon Mulla Pirmohamed (wapili kushoto) na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa, Valentino Mlowola katika futari iliyoandaliwa wa Waziri Mkuul Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mbunge wa Nsimbo, Mhandisi Richard Mbogo baada kufuturisha kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-afuturisha.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE"
Post a Comment