Loading...
title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO, KWA DINI ZOTE TANZANIA
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO, KWA DINI ZOTE TANZANIA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO, KWA DINI ZOTE TANZANIA
Mwambawahabari
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa . akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge Job Ndugai katika Futari iliyo andaliwa na Spika kwa ajili ya Wabunge , Wafanyakazi wa Bunge na Wageni waalikwa katika viwanja vya Bunge June 20. 2017 Mjini Dododma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa . akitoa salamu za Shukurani kwaniaba ya WaBunge na wafanyakazi wa Bunge , kwa Spika wa Bunge Job Ndugai , Kwakuwafuturisha , June. 20 .2017 katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Baadhi ya Wabunge wakibadilishina mawazo wakati wa futari iliyo andaliwa na Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai , kutoka kulia, Mbunge wa Ilala Idd Zungu. katikati Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge .na kushoto ni Mbunge wa Mbarali Haroon Mulla .Futari hiyo ilifuturiwa katika viwanja vya Bunge June 20, 2017 Mjini Dodoma
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO, KWA DINI ZOTE TANZANIA
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO, KWA DINI ZOTE TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO, KWA DINI ZOTE TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-ahimiza_21.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO, KWA DINI ZOTE TANZANIA"
Post a Comment