Loading...

WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE

Loading...
WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE
link : WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE

soma pia


WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo ndg John Lipesi Kayombo akiwa ameambatana na timu ya wakuu wa idara wa Manispaa ya Ubungo, walitembelea na kujionea maandalizi ya Nanenane katika eneo la Itungi Mkoani Morogoro.

Akiwa katika eneo hilo la Manispaa ya Ubungo, maalum kwa maonesho ya Nanenane,Mkurugenzi na timu yake wamejionea aina mbalimbali za mazao ambayo tayari yamepandwa zikiwemo mboga mboga za kila aina.

Pia Manispaa tayari imetengeneza bwawa la kisasa la samaki aina ya Tilapia, na banda la kisasa la ufugaji ng'ombe ,

Baada ya kuona maandalizi hayo Mkurugenzi ameipongeza idara ya kilimo kwa maandalizi hayo na kuahidi kutoa ushirikiano kwa kuwezesha pale patakapohitaji uwezeshwaji yuko tayari, ili kuhakikisha maonyesho hayo yanafana na kuwa ya tofauti licha ya Ubungo kuwa ni Halmashauri mpya .

Naye kaimu mkuu wa idara ya kilimo na mifugo ,Salimu Msuya amesema wao kama idara wamejipanga vizuri na wanaamini watafanya vizuri katika maonyesho hayo,hivyo wanawakaribisha wananchi wote kutembelea banda la Ubungo siku hiyo ya Nanenane.

Tarehe 8/8/ kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima.

*Ubungo mpya, Ubungo ya tofauti *

 Mkurugenzi John Kayombo na Timu ya Wakuu wa  Idara wakikagua Ujenzi wa  Bwawa la samaki
 Afisa Kilimo Salim Msuya akitoa Maelekezo kwa timu ya Wakuu was Idara Kuhusu Kilimo cha Mbogamboga kilichofanyika eneo hilo
Mkurugenzi wa  Manispaa ya Ubungo John Kayombo na Wakuu was Idara Wakipata Maelekezo Kutoka ka Afisa wa Kilimo ndugu Salim Msuya


Hivyo makala WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE

yaani makala yote WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/wilaya-ya-ubungo-yaanza-kujipanga-vyema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WILAYA YA UBUNGO YAANZA KUJIPANGA VYEMA KWA MAONESHO YA NANE NANE"

Post a Comment

Loading...