Loading...
title : YANGA YAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA KWA MIKWAJU YA PENATI,KUNA UWEZEKANO FAINALI IKAWA DABI YA MASHEMEJI WA KENYA
link : YANGA YAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA KWA MIKWAJU YA PENATI,KUNA UWEZEKANO FAINALI IKAWA DABI YA MASHEMEJI WA KENYA
YANGA YAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA KWA MIKWAJU YA PENATI,KUNA UWEZEKANO FAINALI IKAWA DABI YA MASHEMEJI WA KENYA
Mwambawahabari
Beki wa Yanga, Juma Abdul, (kulia) akiruka kuwania mpira na beki wa AFC Leopards Abwao Marcus, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. Katika mchezo huo AFC Leopards wameibuka na uwashinda wa mikwaju ya penati 4-2 baada ya kumalizika dakika 90 kwa sare ya 0-0.
Mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi (kulia) akiwania mpira na Kiungo wa AFC Leopards, Alan
Katerega, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi (kulia) akimtoka mpira na beki wa AFC Leopards, Abdallah
Salim, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa, akijiandaa kupiga shuti huku akizongwa na mabeki wa AFC
Leopards, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Mshambuliaji wa Yanga Yusuph Mhilu (kushoto) akimtoka beki wa AFC Leopards, Abwao Marcus, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Winga wa Yanga, Yusuph Mhilu (kushoto) akimfinya beki wa AFC Leopards, Abwao Marcus, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi (kushoto) akichuana kuwania mpira na Abdallah Salim, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi (kushoto) akichuana kuwania mpira na Abdallah Salim, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Mhilu akimkalisha beki wa AFC Leopards
Hivyo makala YANGA YAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA KWA MIKWAJU YA PENATI,KUNA UWEZEKANO FAINALI IKAWA DABI YA MASHEMEJI WA KENYA
yaani makala yote YANGA YAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA KWA MIKWAJU YA PENATI,KUNA UWEZEKANO FAINALI IKAWA DABI YA MASHEMEJI WA KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA KWA MIKWAJU YA PENATI,KUNA UWEZEKANO FAINALI IKAWA DABI YA MASHEMEJI WA KENYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/yanga-yaaga-mashindano-ya-sportpesa-kwa.html
0 Response to "YANGA YAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA KWA MIKWAJU YA PENATI,KUNA UWEZEKANO FAINALI IKAWA DABI YA MASHEMEJI WA KENYA"
Post a Comment