Loading...

Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba.

Loading...
Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba.
link : Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba.

soma pia


Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba.


Na. Ali Masoud Micheweni Pemba.
Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, yatoa faraja kwa waathirika wa mvua za masika zilizosababisha maafa kwa baadhi  ya wananchi wa wilaya ya micheweni kisiwani Pemba.
Katika kuguswa na  athari hizo,kampuni hiyo wamewakabidhi wananchi wa kijiji hicho mabati 75 wananchi watano ambao nyumba zao zimeathiriwa na mvua hizo .





Akikapokea  msaada huo kwa waathirika wa maafa hayo Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba,Ndg.Abeid Juma Ali, aliwataka kuyatumia mabati hayo kama ilivyo kusudiwa kwa  kutoyauza kwani yametolewa kulingana na athari walizopata.



Alisema katika kutoa mabati hayo , Serikali ya Wilaya imeangalia waathirika walioathirika sana na kusema kwamba hakuna upendeleo uliofanyika wakati wa kuchagua waathirika .
“Mabati haya yametolewa kwa waathirika wa mvua hizo ili kuweze kuwaisaidia wakati huu ambapo nyumba zao zimebomoka ”alisema .



Akitoa shukurani kwa naiba ya waathirika wenzake,mmoja wa wananchi hao Mbarouk Ali Mbarouk, alisema msaada huo umekuja wakati  muafaka na kwamba watautumia kama ilivyokusidiwa.Hivyo alifahamisha  mvua hizo zilisababisha kupoteza malengo yao kimaisha na kwamba mabati hayo yatawawezesha kutekeleza na majukumu mengine ya kimaendeleo .


Hivyo makala Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba.

yaani makala yote Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/zantel-yakabidhi-msaada-kwa-wananchi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zantel Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Micheweni Pemba."

Post a Comment

Loading...