Loading...
title : AMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60
link : AMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60
AMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60
Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabiti Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wa Amref Uliofanyika jijini Dar es Salaam leo
Mkurugenzi wa Amref Nchini, Bi. Florence Temu akizungumza wakati wa mkutano huo wa wadau uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam
Mtendaji Mkuu wa kurugenzi wa Amref Africa Bw. Githinji Gitahi akizungumza kwa ufupi Historia ya Amref Hapa nchini na Mafanikio yake katika sekta ya Afya
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akizungumzia namna gani Amref imesaidiakatika sekta ya Afya nchini
sehemu ya wadau walioshiriki mkutano wa wadau wa Amref katika Hotel Serena Jijini Dar es Salaam
sehemu ya wadau walioshiriki mkutano wa wadau wa Amref katika Hotel Serena Jijini Dar es Salaam
Picha ya Pamoja ya wadau wa Amref na Mgeni Rasmi Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mamhoud Thabiti Kombo
Hivyo makala AMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60
yaani makala yote AMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/amref-yafanya-mkutano-na-wadau-katika.html
0 Response to "AMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60"
Post a Comment