Loading...

Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro

Loading...
Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro
link : Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro

soma pia


Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro

Na Salmin Juma, Pemba

ASKARI wa vyuo vya Mafunzo Kisiwani  Pemba wametakiwa kujiepusha na migogoro, majungu na Fitna na kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kulinda nidhamu na heshima jeshi hilo.

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba  Mhe Omar Khamis Othman amesema kuwa majungu na fitna  ni sumu sehemu za kazi na kuwasisitiza askari hao kujengeana heshima miongoni mwao.

Katika hotuba yake ya Kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Vyuo vya Mafunzo Pemba, Haji Hamoud Haji iliyosomwa na Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Abied Juma Ali kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa amesema ili kuleta ufanisi wa kazi ni budi askari kufuata maadili ya kazi yao .

Amesema kuwa iko haja kwa Askari wa Vyuo Vya Mafunzo kufufua utamaduni wa kufanya kazi kwa kujitolea kwa ajili ya maendeleo ya Nchi na kuacha kufanya kazi kwa mazoea na ubabaishaji .

kwa upande wake Naibu Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar Haji Hamoud Haji  ameahidi kuendelea kushirikiana na askari wa Vyuo vya Mafunzo Kisiwani Pemba na atafanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote .



Hivyo makala Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro

yaani makala yote Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/askarii-vyuo-vya-mafunzo-watakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Askarii vyuo vya mafunzo watakiwa kujiepusha na migogoro"

Post a Comment

Loading...