Loading...
title : BAADA YA RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP KUTOKA, WATANGAZAJI CLOUDS WAGAWIANA TIMU
link : BAADA YA RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP KUTOKA, WATANGAZAJI CLOUDS WAGAWIANA TIMU
BAADA YA RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP KUTOKA, WATANGAZAJI CLOUDS WAGAWIANA TIMU
ROBO fainali ya Ndondo Cup inaendelea tena siku ya Alhamisi kwa timu nane kuumana katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo Uwanja wa Kinesi.
Droo hiyoi iliyochezeshwa jana na kila timu kufahamu anapambana na nani katika hatua ya robo iliweza kuwa ya aina yake baada ya watangazaji wa vipindi mbalimbali wa Clouds kugawana timu hizo na kuwapa ahadi lukuki .
Hii ndo Ratiba ya Robo fainali
Alhamis 27/07/2017
Vijana Rangers vs Kibada one
Ijumaa Tar 28/07/2017
Gomis United vs Mlalakuwa Rangers
Jumamosi Tar 29/07/2017
Mpakani Combine vs Misosi Fc
Jumapili Tar 30/07/2017
Keko Fanicha vs Stimutosha Fc
Kipindi cha "Leo tena" wenyewe wamebaki na timu yao Mlalakuwa Rangers, kwa hiyo hawakuwepo kwenye draw ya kila kipindi kupata timu yake. "XXL" wao timu yao ni Keko Furniture, "Jahazi" wenyewe wameangukia kwa Mpakani Kombaini, "Clouds 360" timu yao ni Misosi FC wakati "Amplifier" watakuwa na Vijana Rangers, Kibada One wameangukia kwa "Power Breakfast" huku Goms United wakitua kwa "Shilawadu" na Stim Tosha ikienda kwa wazee wa "Alasiri".
Baada ya droo hiyo kila kipindi kilitoa ahadi na mbwembwe kibao na kuziahidi timu hizo kuwa watanunua kila goli huku kipindi cha 360 wakitoa ahadi ya kuwapeleka mbuga za wanyama iwapo watakuwa mabingwa.
Hivyo makala BAADA YA RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP KUTOKA, WATANGAZAJI CLOUDS WAGAWIANA TIMU
yaani makala yote BAADA YA RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP KUTOKA, WATANGAZAJI CLOUDS WAGAWIANA TIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BAADA YA RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP KUTOKA, WATANGAZAJI CLOUDS WAGAWIANA TIMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/baada-ya-ratiba-ya-robo-fainali-ndondo.html
0 Response to "BAADA YA RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP KUTOKA, WATANGAZAJI CLOUDS WAGAWIANA TIMU"
Post a Comment