Loading...
title : Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje
link : Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje
Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba (Mb), akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni na ujumbe wake kwa ajili ya kufanya mazungumzo.
Dtk. Kolimba akisisitiza jambo kwenye mazungumzo na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Roberto Mengoni. Katika mazungumzo hayo alikuwepo pia Makamu wa Rais wa Shirika la Taifa la Reli la Italia, Bw. Giovanni Roca ambaye amekuja nchini kuangalia fursa za uwekezaji katika sekta ya reli baada ya kuhamasishwa na Mhe. Naibu Waziri alipotembelea Italia hivi karibuni.
Ujumbe wa Italia uliofuatana na Mhe. Balozi ukifuatilia mazungumzo.
Bw. Charles Faini (kulia), Katibu wa Naibu Waziri na Bw. Salvatory Mbilinyi wa Wizara ya Mambo ya Nje wakinukuu taarifa muhimu
Picha ya pamoja
Hivyo makala Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje
yaani makala yote Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/balozi-wa-italia-atembelea-wizara-ya.html
0 Response to "Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje"
Post a Comment